Nyoro atoa wito wa kurejeshwa kwa hazina ya NG-CDF

  • | KBC Video
    152 views

    Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro ametoa wito wa kurejeshwa kwa hazina ya serikali ya kitaifa kuhusu ustawi wa maeneo bunge-NGCDF. Nyoro amesema kwamba uamuzi wa hivi majuzi wa mahakama kuu uliotangaza hazina hiyo kuwa kinyume cha katiba, utaathiri maendeleo mashinani. Kundi la mashirika ya kijamii hata hivyo limeunga mkono uamuzi huo, na kutahadharisha dhidi ya juhudi zozote za kurejesha NG-CDF.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive