Mfumo wa sasa wa ufadhili wa elimu ya juu wadaiwa kubagua maskini

  • | KBC Video
    21 views

    Shirika la Elimu Bora Working Group linashinikiza wizara ya elimu kurejelea mfumo wa awali wa kufadhili elimu ya vyuo vikuu ili kuwawezesha wanafunzi kutoka familia maskini kuendelea na masomo yao. Shirika hilo la utetezi wa masuala ya elimu pia limepinga uteuzi wa kamati ya kitaifa ya wanachama-129 iliyobuniwa kuangazia upya mfumo huo mpya wa kufadhili elimu ya juu, likisema kuwa huenda hatua hiyo haitazaa matunda.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive