Rais akutana na magavana na mameya wa Bara Afrika

  • | KBC Video
    216 views

    Rais William Ruto ameshauriana na magavana na mameya wa sasa na wa zamani wa bara Afrika chini ya kundi la Uongozi wa Mameya Barani Afrika. Ujumbe huo ambao pia ulijumuisha wahisani uliongozwa na Jamie Cooper na gavana wa kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja. Rais Ruto alisifia kundi hilo kwa uongozi bora na juhudi za kujenga miji salama, ya kisasa na inayozingatia usafi wa mazingira kwa minajili ya kuimarisha bara Afrika katika siku za usoni.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive