Wachezaji wengi warejea kwenye kikosi cha Harambee Stars

  • | Citizen TV
    352 views

    Kocha wa timu ya taifa ya kandanda Harambee Stars Engin Firat amefanya mabadiliko makubwa katika kikosi kitakachokutana na Cameron katika mechi za kufuzu kwa kombe la mataifa bora ya Afrika. Harambee Stars itacheza na Cameroon mara mbili mwezi Oktoba, ugenini nchini Cameroon na Kampala Uganda.