Waumini walisusia ibada wakidai maisha ya mchungaji wao yako hatarini

  • | NTV Video
    541 views

    Kizaazaa kilishuhudiwa katika kanisa la Joy Trinity katika eneo la Mwea, baada ya waumini kususia kuingia kanisani kwa ajili ya ibada. hii ni kufuatia muhubiri wao kupokea vijikaratasi na jumbe kwa simu zilizokuwa na zilizokuwa na vitisho kwa maisha yake. Wakiwa wamebeba mabango na matawi, waumini hao waliandamana wakitaka maafisa wa upelelezi kuchunguza kisa hicho, na kuchukua hatua kwa wale wanaohusika

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya