Wabunge waliopinga hoja ya kumuondoa Gachagua ofisini wasema zoezi hilo halikuzingatia sheria

  • | Citizen TV
    3,866 views

    Baadhi ya wabunge waliomtetea Rigathi Gachagua na kupinga hoja ya kumuondoa ofisini wanasema zoezi la kumbandua halikuzingatia sheria na katiba. Wabunge hao wanasema kura ya maoni ya wananchi ilifanywa bila utetezi wa gachagua kuzingatiwa. Wanasema kuwa zoezi zima lilishawishiwa kisiasa na kwamba gachagua ameshutumiwa kwa madai mengi ambayo hayana msingi.