Mauaji ya kinyama ya wanawake watatu yametokea familia moja

  • | NTV Video
    1,773 views

    Mauaji ya wanawake watatu kutoka familia moja , yametajwa kuwa ya kinyama na ya kutamausha na maafisa wa upelelezi pamoja na familia ya wendazao, mauaji ambayo yalitekelezwa siku ya Jumanne asubuhi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya