Polisi walipata gari lililotumiwa na wahalifu

  • | Citizen TV
    5,459 views

    Wapelelezi wa jinai (DCI) wanamhoji mshukiwa wa mauaji ya watu watatu katika mtaa wa eastleigh. mwanamke aliyetekwa nyara na kisha kuachiliwa baada ya jamaa zake kutuma pesa za kumuokoa pia anahojiwa katika makao makuu ya DCI ili kubaini wahusika.