Mshukiwa wa mauaji Eastleigh akamatwa

  • | Citizen TV
    71,801 views

    Uchunguzi Wa Maiti Ya Watu Watatu Waliotekwa Nyara Mtaani Eastleigh, Kuuawa Na Miili Yao Kutupwa Maeneo Tofauti Jijini Nairobi Na Kaunti Ya Machakos Unatarajiwa Kufanyika Leo Katika Hifadhi Ya Maiti Ya City.