Mahakama inatoa uamuzi kuhusu kuapishwa kwa Kindiki

  • | Citizen TV
    10,901 views

    Darubini imeelekezwa mahakamani leo ambapo majaji watatu wanatoa uamuzi kuhusu iwapo naibu rais mteule Profesa Kithure Kindiki ataapishwa au la.