Mgogoro ndani ya chama cha ODM unaendelea kuchukua mkondo mpya

  • | K24 Video
    366 views

    Mgogoro ndani ya chama cha ODM unaendelea kuchukua mkondo mpya huku baadhi ya wanachama wakilaumu uongozi wa chama. mbunge wa Gem, Elisha Ogembo, sasa anadai kuwa viongozi watatu wa juu wa chama wamepotoka, akiwashutumu kwa kutumia mabavu na kudharau wanachama. Ogembo pia ametishia kuanzisha mchakato wa kumuondoa katibu mkuu, Edwin Sifuna.