Gachagua adokeza kuwa huenda akawa debeni katika uchaguzi mkuu ujao

  • | K24 Video
    23 views

    Aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua amedokeza kuwa huenda akawa debeni katika uchaguzi mkuu ujao katika azma ya kumpeleka nyumbani Rais William Ruto. Kulingana na Gachagua, mahakama bado haijatoa maagizo ya kumzuia kuwania nafasi ya uongozi. gachagua ambaye alifanya mazungumzo na vituo vya redio vya eneo la magharibi amedai kuwa rais William Ruto alikuwa radhi kumpa shilingi bilioni mbili ili ajiuzulu kabla ya kung’atuliwa. ian keitany ana maelezo zaidi.