Fahamu simu yako inahusika vipi na Mgogoro wa DRC?

  • | BBC Swahili
    54 views
    Kuna uwezekano mkubwa kwamba ndani ya simu yako ya mkononi kuna kiasi kidogo cha chuma kilichoanza safari yake mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, ambapo vita vinaendelea hivi sasa. Katika kipindi cha mwaka uliopita, M23 imeteka kwa haraka eneo lenye utajiri mkubwa wa madini hayo - Makala kwa urefu inapatikana hapa hapa Youtube. Tafuta Mzozo DRC. #bbcswahili #DRC #M23 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw