Mzozo DRC: Fahamu madini ndani ya simu yanayochochea mgogoro

  • | BBC Swahili
    2,002 views
    Tantalum iliyo ndani ya kifaa cha simu na vifaa vifaa vingine vya kielekroniki hutokana na madini ya Coltan ambayo kwa kiasi kikubwa yanatoka mashariki kwa DRC. Katika kipindi cha mwaka uliopita, M23 imeteka kwa haraka eneo lenye utajiri mkubwa wa madini hayo Munira Hussein anaelezea zaidi 🎥: Bosha Nyanje #bbcswahili #DRC #M23 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw