Familia iliyopata hasara wakati wa vurugu Limuru yakanusha madai yakuhusishwa na jambo hilo

  • | K24 Video
    441 views

    Wakati huohuo familia iliyopata hasara wakati wa vurugu katika ibada ya mazishi Ngarariga eneo bunge la Limuru kaunti ya Kiambu, imejitokeza na kujitenga na wanasiasa. familia imesema haikuhusishwa katika mipango iliyokuwa ikiendelea, na imepinga mpango wa harambee kwa ajili ya kufidia hasara iliyokadiriwa.