Hofu ya masomo ya gredi ya tisa

  • | K24 Video
    2 views

    Muungano wa elimu yetu unahofia kuwa ifikapo mwezi januari, shule hazitakuwa tayari kufaulisha masomo ya gredi ya 9. Hii ni kufuatia kutokamilika kwa ujenzi wa madarasa yote, ukosefu wa miundombinu na uhaba wa walimu. vilevile, wamekosoa baadhi ya mapendekezo yaliyotolewa katika ripoti ya jopo kazi la elimu wakisema kuwa hayawezi kuafikiwa. sasa wamewarai wadau husika kuhakikisha kwamba walimu wanafundisha masomo waliyohitimu.