12 Sep 2025 2:02 pm | Citizen TV 1,401 views Duration: 2:18 Huku ikiwa imesalia miezi miwili kabla ya uchaguzi mdogo wa eneo bunge la Banisa kaunti ya Mandera kufanyika, wenyeji wengi wa eneo hilo wanampigia debe Ahmed Maalim Hassan kuwania kiti hicho.