Akina mama wa Nairobi wamrai Ruto kumjumuisha serikalini Bi Stella Lagat

  • | KBC Video
    76 views

    Akina mama hao ambao ni viongozi wa Maendeleo ya Wanawake kaunti ya Nairobi wamemtaka Rais kumteua Bi Lagat katika wadhifa mwingine serikalini.