Hasira ya mikizi. Wazazi na wanafunzi washutumu bodi ya shule kwa usimamizi mbaya

  • | KBC Video
    25 views

    Wazazi na wanafunzi wa shule ya msingi ya Gaketha katika eneo la Mitheru Maara kaunti ya Meru waliingia kwa lazima shuleni humo kushinikiza kuondolewa kwa mwalimu mkuu mpya. Wazazi na wanafunzi wanashutumu mwalimu huyo mkuu na bodi ya shule hiyo kwa usimamizi mbaya huku wakiapa kulemaza masomo hadi aliyekuwa mwalimu mkuu wa shule hiyo arejeshwe.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive