Aliyekuwa gavana wa kiambu waititu atahukumiwa kesho

  • | Citizen TV
    3,171 views

    Gavana wa zamani wa Kiambu, Ferdinand Waititu anatarajiwa kuhukumiwa hapo kesho baada ya mahakama kumpata na hatia ya ufisadi. Waititu pamoja na mkewe Susan Wangari walipatikana na hatia ya ufisadi kuhusiana na zabuni ya barabara ya thamani ya zaidi ya shilingi milioni mia tano.