Aliyekuwa kiongozi wa kidini wa jamii ya Shia Ismaili Aga Khan aaga dunia

  • | KBC Video
    251 views

    Kiongozi ya kiroho wa 49 wa Waislami wa Shia Ismaili na mwanzilishi wa shirika la maendeleo la AghaKhan muadhama Aga Khan ameaga dunia. Aga Khan ambaye ni mwana wa mfalme Karim Al-Hussaini Aga Khan watano alifariki akiwa na umri wa miaka-88 katika mji mkuu Lisbon nchini Ureno mnamo Jumanne tarehe 4 akiwa amezingirwa na familia yake

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive