Asilimia 19% ya kina mama bado inapitia ukeketaji Elgeyo Marakwet, mila ikichangia pakubwa

  • | TV 47
    2 views

    Asilimia 19% ya kina mama bado inapitia ukeketaji Elgeyo Marakwet.

    Visa vya ukeketaji vinachangiwa pakubwa, mila pia zinachangia.

    Unafanywa maeneo ya vijijini haswa eneo la Marakwet Mashariki na Keiyo Kusini.

    Wazee wanachangika kwa kiasi kikubwa.

    Sheria haitekelezwi kikamilifu.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __