- 423 viewsDuration: 2:43Ripoti maalum ya shirika la wanaharakati, International Justice Mission, IJM, imebainisha kwamba asilimia 43 ya Wakenya wameripoti visa vya unyanyasaji mikononi mwa Polisi. Hatahivyo asilimia 62 ya walionyanyaswa hawakuripoti visa hivyo huku kaunti ya Kisumu ikiongoza kwa visa vya malalamishi ya unyanyasaji mikononi mwa Polisi. Seth Olale ana taarifa kamili.