Askofu Jackson Ole Sapit apiga marufuku siasa ndani ya kanisa la ACK

  • | Citizen TV
    3,650 views

    Kwa Mara Nyingine Tena, Kanisa La Kianglikana Limepiga Marufuku Siasa Ndani Ya Makanisa Yake. Mkuu Wa Kanisa La Kianglikana Jackson Ole Sapit Pia Akisema Hakuna Wanasiasa Watakaoruhusiwa Kutangaza Michango Wanayotoa Kwenye Makanisa Hayo. Na Kama Nimrod Taabu Anavyoarifu, Hatua Hii Imesababisha Wanasiasa Waliokuwa Kwenye Kanisa La Kianglikana Hapa Nairobi Wakiongozwa Na Rigathi Gachagua Na Kalonzo Musyoka Kunyimwa Fursa Ya Kuzungumza.