Askofu mkuu wa kanisa katoliki jimbo la Nyeri Anthony Muheria aisuta serikali ya Ruto

  • | Citizen TV
    580 views

    Askofu mkuu wa kanisa katoliki jimbo la nyeri Anthony Muheria ameitaka serikali kukoma ahadi zisizotimia, na badala yake kuzamia utendakazi katika miaka miwili iliyobakia ya utawala. Muheria ambaye anasema joto la kisiasa liliko kwa sasa ni hatari kwa maendeleo, amemtaka rais William ruto kukumbatia wanaomkejeli kwa mazungumzo ya jinsi ya kuboresha taifa badala ya kuwazomea.