Athari za kutumia vidonge vya kuzuia mimba

  • | BBC Swahili
    2,009 views
    Vidonge vinavyofahamika kama P2 au vidonge vya asubuhi ni miongoni mwa aina ya udhibiti wa kuzuia mimba. Uzazi wa mpango wa dharura hutumiwa kuzuia mimba kwa wanawake ambao wamefanya ngono bila kinga au ambao njia zao za uzazi zimeshindwa kuzuia. #bbcswahili #afya #wanawake Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw