Azimio yashtua bungeni kutaka kutambuliwa kama chama cha walio wengi

  • | NTV Video
    3,887 views

    Kizaazaa kimeibuka leo bungeni, baada ya wabunge wa Azimio kukatilia kwenye viti vya upande wa walio wengi bungeni, wakitaka kutambuliwa kama chama cha walio wengi bungeni

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya