Skip to main content
Skip to main content

Baadhi ya mawakili waandamana nairobi wakitaka uchunguzi wa haki wa mauaji ya wakili Kyalo Mbobu

  • | Citizen TV
    2,162 views
    Duration: 1:50
    Chama cha mawakili nchini (LSK) kimewasilisha ombi kwa inspekta jenerali wa polisi Douglas Kanja kikitaka uchunguzi wa haraka na wa kina kufanywa kuhusu mauaji ya wakili Mathew Kyalo Mbobu, aliyeuawa kwa kupigwa risasi nane siku ya Jumanne.