Baadhi ya vijana wapongeza uteuzi wa mmoja wao Fikirini Jacobs

  • | KBC Video
    42 views

    Baadhi ya vijana chini ya mwavuli wa vuguvugu la Kenya Youth Movement na muungano wa Kenya Youth umeelezea furaha yao kufuatia kuchaguliwa kwa mmoja wao Fikirini Jacobs ambaye ni mkazi wa kaunti ya Kilifi kuwa katibu mkuu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News