Skip to main content
Skip to main content

Baadhi ya viongozi wa Kisii wakutana na rais William Ruto ikulu ya Nairobi jana

  • | Citizen TV
    3,556 views
    Duration: 3:30
    Rais William Ruto kwa Ushirikiano na Kiongozi wa ODM Raila Odinga wametoa wito wa umoja na ushirikiano baina ya Serikali za kaunti na serikali kuu ili kufanikisha Miradi Mbalimbali nchini. Viongozi hao walikuwa wakihutubia ujumbe maalum kutoka eneo la Gusii wakiongozwa na Gavana wa Kisii Simba Arati ambaye alimhakikishia Rais kuwa atafanya kazi naye licha ya eneo hilo kuwa na Mgombea wa kiti cha Urais mwaka 2027.