- 143 viewsDuration: 3:11Serikali iliwahakikishia wanafunzi kwamba ufadhili wa elimu ya juu utaendelea bila kukwama huku sasa bodi ya mikopo ya elimu ya juu ikiwataka wanaodaiwa kulipa madeni yao. Afisa Mkuu Mtendaji wa Bodi ya HELB, Geoffrey Monari, akisema kuwa bodi hiyo imejiandaa kugharamia mahitaji ya wanafunzi wa vyuo vikuu na vile vya TVET kwenye muhula huu wa masomo. Hata hivyo , baadhi ya wanafunzi wamekwama nyumbani wakisubiri ufadhili huo