Barabara mbovu inawatatiza wakazi wa Shimba Hills

  • | Citizen TV
    531 views

    Wakazi wa Shimba Hills kaunti ya Kwale wanaishinikiza serikali kuu kuanzisha ujenzi wa barabara ya lami ya kilomita 70 inayotoka Mwabungo hadi TM. Wakaazi hao wanasema eneo hilo linazalisha vyakula na matunda kwa wingi, ila ubovu wa barabara huwaletea hasara kubwa na kuwafanya kushindwa kufikisha mazao yao sokoni kwa wakati unaofaa