13 Nov 2025 10:19 am | Citizen TV 225 views Duration: 6:02 Baraza la magavana linazindua mpango wa akudhibiti vifo vya kina mama wanapojifungua na watoto wachanga. mpango huo unalenga kuchunguza visa hivyo na kuweka mikakati ya kuidhibiti.