Baraza la vyombo vya habari lakosoa mashambulizi ya wanahabari

  • | Citizen TV
    141 views

    Baraza la vyombo vya habari la kenya limeendelea kuelezea wasiwasi wake kuhusiana na mashambulizi dhidi ya wanahabari nchini. Baraza hili sasa likisema kuwa malalamishi 24 ya mashambulizi dhidi ya wanahabari yaliwasilishwa wakati wa maandamano dhidi ya serikali.