Biashara I Kenya kubuni mkakati mwafaka wa kukabiliana na ulanguzi wa fedha

  • | KBC Video
    10 views

    Kenya inapaswa kubuni mkakati mwafaka wa kukabiliana na ulanguzi wa fedha ambao unatishia mifumo ya kifedha ya taifa hili. Wakiongea wakati wa kongamano la kwanza kuhusu uhalifu wa kifedha, watalaamu wa masuala ya kifedha walionya kwamba kukosa kukabili masuala haya kwa dharura kutaathiri uchumi wa taifa hili kwa kiasi kikubwa. Huu hapa mkusanyiko wa taarifa za uchumi na biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive