Skip to main content
Skip to main content

Biashara I Kenya na Burundi kuimarisha ushirikiano wa kidijitali

  • | KBC Video
    185 views
    Duration: 3:15
    Kenya imezindua mpango mpya wa mafunzo kuhusu Akili Mnemba kwa ushirikiano na kampuni ya Google, ikiwalenga wanafunzi wa vyuo vikuu kama sehemu ya kukuza nguvukazi iliyo tayari kujitosa kwenye uwanda wa uchumi wa kidijitali. Waziri wa habari, mawasiliano na uchumi dijitali William Kabogo amesema hatua hiyo itatoa fursa kwa wanafunzi kupata huduma za mpango wa Google Gemini Pro Plan, ambao hutoa mafunzo kuhusu programu kama vile DeepResearch na NotebookLM kwa miezi 12 bila malipo. Zifuatazo ni taarifa za biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive