Biashara I Matumizi ya mbolea asilia yahimizwa

  • | KBC Video
    3 views

    Serikali inabuni kanuni za viwango ambazo zitawianisha matumizi ya mbolea asilia na ile ya kisasa kwa lengo la kuwashawishi wakulima wengi kugeukia matumizi ya mbolea asilia. Mkurugenzi wa taasisi ya utafiti wa kilimo na mifugo David Kamau amesema kanuni hizo zitatoa mwongozo kwa watengenezaji mbolea asilia kuhusu viwango vinavyohitajika.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News