Biashara I Serikali kupunguza ushuru wa mahindi yanayoagizwa

  • | KBC Video
    20 views

    Serikali inakadiria kupunguza ushuru wa uagizaji mahindi kwa asilimia 50 ili kuiwezesha kuagiza angalao magunia 5.5 ya mahindi ili kuziba nakisi iliyoko ambayo imesababisha ongezeko la bei ya bidhaa hiyo. Waziri wa kilimo Mutahi Kagwe amesema uagizaji huo utalenga mahindi ya njano ambayo si kisaki kwa lengo la kupunguza utegemezi wa mahindi meupe kwa chakula cha mifugo. Taarifa hii ni kwenye kitengo chetu cha Kapu la Biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive