Biashara I Serikali yanunua mbolea zaidi ya ruzuku

  • | KBC Video
    12 views

    Kenya imeshauriwa kupatia kipaumbele suala la ukusanyaji wa deta sahihi kuhusu uchafu wa kielektroniki ili kutoa mwongozo kwa wabuni sera kuhusu usimamizi wake. Washiriki wa kongamano la 7 la hamasa kuhusu uchafu wa kielektroniki wamesema ipo haja ya dharura ya kufanyia marekebisho sera na kubuni mbinu bora za kufanikisha utupaji takataka za kielektroniki ambazo zinatarajiwa kufikia kilo bilioni 82 ulimwenguni katika kipindi cha miaka mitano ijayo. Taarifa hii na nyingine ni kwenye kitengo cha Kapu la Biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News