Biwi la simanzi latanda wakati wa mazishi ya mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Carol Lwanga

  • | K24 Video
    5 views

    Wimbi la simjanzi lilitanda katika kijiji cha Lutaso wakati wa mazishi ya mwanafunzi wa kidato cha pili shule ya sekondari ya Carol Lwanga, anayedaiwa kuuwawa na mpenzi wake wa kidato cha nne wa shule ya sekondari Musaga. Inakisiwa mwanafunzi huyo aliuawa kwa kudinda kuavya mimba. Kisa sawia kilishuhudiwa katika kijiji cha Burangasi, navakholo ambapo waombolezaji walikusanyika kumzika Irene Oyalo anayedaiwa kuuwawa na mume wake mwalimu wa shule ya sekondari burangasi. Mshukiwa anadaiwa kumvamia mkewe kwa kukataa kumpikia nyama.