Burundi : "Hatutakubali kuchinjwa kama mbuzi, kama vile Wakongo"

  • | BBC Swahili
    42,629 views
    Ndayishimiye amesema Rwanda itakuwa imefanya kosa kubwa kuivamia Burundi kwa njia yoyote ile akisema Burundi itajibu kwa njia ya Kijeshi, na hivyo kuonya uwezekano wa kuzuka kwa vita vya kikanda. #bbcswahili #Burundi #Rwanda Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw