' Bwana Trump Greenland haiuzwi'

  • | BBC Swahili
    592 views
    Anders Vistisen, mjumbe wa Denmark katika Bunge la Ulaya, amemrushia maneno makali Rais Donald Trump alipokuwa akimjibu kuhusu madai ya kuinunua Greenland. #bbcswahili #DonaldTrump #Marekani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw