Skip to main content
Skip to main content

Chama cha ODM yaadhimisha miaka 20 tangu kuanzishwa

  • | Citizen TV
    657 views
    Duration: 2:58
    Sherehe za kuadhimisha miaka ishirini tangu chama cha ODM kuanzishwa zinazidi kunoga katika kaunti ya Mombasa huku viongozi wakuu wa chama hicho wakiendesha shamrasharma katika maeneo mbalimbali. Rais William Ruto anatarajiwa kuhudhuria dhifa ya waanzilishi wa chama hicho hapo kesho.