Chama cha UPA cha rekebisha katiba yake

  • | KBC Video
    47 views

    Connect with KBC Online;Chama cha United Progressive Alliance (UPA) kimefanyia katiba yake marekebisho na kujumuisha kipengee kuhusu wanawake na vijana kwa madhumuni ya kujiongezea umaarufu kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Mkutano wa pamoja wa baraza kuu na wajumbe wa kitaifa uliazimia kuwasilisha mabadiliko hayo kwa msajili wa vyama vya kisiasa ili yaidhinishwe kabla ya katiba hiyo kuzinduliwa rasmi. Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive