Wafanyikazi wa zamani wa Standard Group waandamana

  • | Citizen TV
    320 views

    Wafanyikazi hao wanashinikiza mishahara yao ilipwe

    Wafanyikazi hao wanasema hawajalipwa tangu 2018

    Wanaitaka wasimamizi wa kampuni kushinikizwa kuwalipa