Changamoto ya vituo vya gesi katika vyombo vya moto

  • | BBC Swahili
    346 views
    Nchini Tanzania matumizi ya gesi asili kwenye vyombo vya moto yanaendelea kushika kasi ambapo watumiaji wa vyombo vidogo kama vile bajaji kwa ajili ya biashara nao wameanza kutumia gesi asilia kwa kasi wengi wakivutiwa na unafuu wa bei hivyo kupunguza gharama za uendeshaji kwa zaidi ya asilimia 50. Mwandishi wa BBC @eagansalla_gifted_sounds metuandalia taarifa hii #bvbcswahili #tanzania #gesiasilia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw