Familia zazidi kulalamikia mzigo wa matibabu ya SHA

  • | Citizen TV
    262 views

    Changamoto za wagonjwa kutafuta matibabu zazidi wanaotafuta matibabu nje ya nchini wapata tabu familia zinazidi kulalamikia mzigo wa matibabu SHA yasema inazidi kuweka mikakati ya matibabu nje