Charles William: Chadema inakuja na sura Mpya

  • | BBC Swahili
    11,374 views
    Baada ya Tundu Lissu kuchaguliwa kuwa kiongozi mpya wa chama cha Chadema nchini Tanzania, kumrithi Freeman Mbowe, ambaye alikuwa kiongozi wa chama hicho kwa muda mrefu, Wachambuzi wanasemaje kuhusu hatua hii? #bbcswahili #tanzania #tundulissu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw