Daktari aachishwa kazi Embu baada ya mwanamke mmoja kujifungua kwenye veranda

  • | NTV Video
    244 views

    Serikali ya kaunti ya Embu imemsimamisha kazi afisa wa kliniki na mlinzi katika hospitali ya Kiritiri kitengo cha nne eneo bunge la Mbeere Kusini baada ya mwanamke mmoja kujifungua kwenye veranda ya hospitali bila usaidizi kutoka kwa wataalamu.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya