- 84 viewsDuration: 1:16Aliyekuwa jaji mkuu David Maraga amesema yeye ndiye dawa ya ufisadi nchini. Amesema ikiwa atapewa nafasi ya kuongoza akiwa rais, atamaliza ufisadi kwa njia ambayo wakenya watamkumbuka. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya